Genesis 26:8

8Wakati Isaka alipokuwa amekaa huko siku nyingi, Abimeleki mfalme wa Wafilisti akachungulia dirishani, akaona jinsi Isaka alivyomkumbatia Rebeka mke wake.
Copyright information for SwhKC